Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

Watanzania mna hasira! Hahaha..
Okay nawatoa kwenye lawama, nabakisha ya JK na BASATA..
Kama mngenisoma vizuri, mngeelewa mantiki yangu.
Kikwete hata asingempa trekta, kwa nafasi yake bado alikuwa anao uwezo wa kuagiza e katika urari huo!
bado wewe ni MUONGO
bora unyamaze tu
Magufuli amempokea mtoto wake na kumpa Ukatibu Tawala
fuatila Taarifa za habari za tv (ITV)
NAOMBA LAWAMA KWA VIONGOZI UZIACHE, NI nCHI GANI UNAWEZA KUCHAGUA MTOTO KWA AJILI TU YA BABA YAKE NA UMAARUFU WAKE?
kwani wewe au mimi tusichukue nafasi hizo kwa ajili ya Elimu zetu
 
Sijaona nafasi ya trekta ktk kuokoa Maisha yake, alienda India kutibiwa na kurudi. Siku zilikuwa zimefika, huenda hata angepewa hilo trekta angelikufa AKIWA ANALIENDESHA.
 
Kifo ni mpango wa Mungu, hata angepewa Dege la Dreamer limlimie bado angerudisha uhai kwa aliyempa. R. I. P
 
Acha uzwazwa yani unalaumu Taifa na Rais kwa ajili ya mtu mmoja aliekua na nguvu zake na uwezo wa kujiletea chakula mezani. Mwacheni apumzike mnazidi kumtibua tuu huku aliko
 
Unajambajamba tu.

 
Yoooteee hayo angekufa tuuu
 
Kila mtu akimuomba Rais amsaidie kiasi kadhaa au kitu fulani itakuaje?
 
kifo kikifika hata angepewa buldoza angekufa tu..maguful (Raisi wa wanyonge) kajitahidi kuwasaidia familia yao kampa ukatibu tawala mtoto wake
 
Ukiomba kuna kupewa na kutopewa, siyo jukumu la serikali kumpa mtu mmoja mmoja vitu kama trekta.
Watanzania tumekuwa na haka katabia ka kuwaaminisha mastar kuwa wana haki ya kupewa na kuchangiwa.
Acha apumzike Mzee wetu lakini siyo muanze kulaumu watu atleast hata yeye walau alikumbukwa Mzee Small aliumwa sana ni Marehemu KIanumba tu aliyekuwa anamtembelea..
 
Watanzania kwa lawama hamjambo. Mwacheni mzee wa watu apumzike kwa amani
Kuna watu hutafuta Kiki kwa pikipiki hivi kila mtanzania mwenye shida apeleke maombi kwa Jk anaweza kukizi haja na matakwa ya kila mmoja wetu? lawama zingine ni chuki binafsi
 
Naamini akisama hii akili itamjenga
 
Watu wengi wapo vijijini wanahitaji hayo matrekta, sio wewe umekaa town unasubiria upewe trekta ndio uende shamba, huo si uzushi.
Swadakta umenena eee na hata huko kuomba ilikua ni ktk sanaa tu alikua anaigiza tu wala hakuwa anaomba kweri
 
mimi nilishangaa Msemaji wa Muhimbili ametoa taarifa rasmi ya kifo cha Majuto.

tangu lini Muhimimbi inatoa matamko ya kifo cha mgonjwa?

watu wanaenda vyuo vikuu wanasomea public relations lakini hawajui kazi zao, wametoka kapa shuleni

huku mtaani tumezidiana, kuna wengine maarufu, wengine matajiri, wengine masikini, wengine wasanii, wengine wabeba zege, wengine ma engineer

lakini watu wote ni sawa mbele ya serikali, ukitoa taarifa ya kifo cha Majuto basi uwe unatoa taarifa ya kifo cha kila Bakari na Neema wanaofia Muhimbili!

msanii na usanii sio profession muhimu kuliko zingine zote duniani!

serikali ya nchi yake haikutoa tamko siku Michael Jackson amefariki!
 
Mbona wew mwenyew hukuwah kukumbusha humu kwamba mzee majuto aliwah kuomba trekta na hajapewa , umesubiri amekufa ndo unasema...aibu kwako pia
 
Aaaaaa ucha kujipotosha,hakunaga kuondoa risk ya kifo kwa kuwa na uwezo wa kujitibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…