ju ma nchuki
JF-Expert Member
- Jun 5, 2018
- 205
- 96
We jamaa ukiendelea na lawama za kiboya hizo hutokuja kufanikiwa maishani...Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto.
Kwahio unasema hela zilikua zinaenda kwa kikwete hadi apewe lawaa??Ndugu naomba nitoe povu, tena la kiwango cha grisi. Hivi una uhakika kuwa mikataba aliyoingia, hela ilikuwa inaingia kwake? na alikuwa anapokea hela sahihi kulingana na kazi yake?
Naunga mkono hojaKuna baadhi ya watu nikisoma mawazo yao huwa natamani itungwe sheria ya "mpiga kura lazima awe na kiwango fulani cha IQ"...
Halafu kwa mwenye shida ya trekta ni yeye peke yake? Rais angempa nani na amnyime nani? Angetumia fedha alizojengea msikiti kama ilikuwa priority yake. Acheni lawama za ajabu ajabuJaama angu hizo ni lawama zisizo na msingi wowote.
Ametengeneza movie ngapi? Matangazo ya biashara mangapi?
Amefanya matamasha mangapi?
At least ungewalaumu watu aliofanya nao sanaa na matangazo ningekuunga mkono
Kumbe aliomba msaada, kwani mtu akiomba msaada ni lazima apewe.
Alafu sio jinsi hilo treka lingeongeza umri wake wa kuishi labda unielekeze zaidi
R.I.P Mzee Amri
Tujiulize tu treka ni sh. ngapi? Angekuwa serious angeanza na la kukodi na miaka miwili angeshanunua la kwake. Kumsubiri rais akupe trekta sio sawaYule mzee amefanya kazi ya maigizo kwa muda wote.
Kaingia mikataba.
Kafanya matangazo.
Kalamba deals na Al Riyami.
Kaonyeshwa Channel 10.
VHS na DVDs zimeuzwa.
Steps walikua naye.
Ana muvi alizoitwa kama mshiriki.
Unamlaumu Kikwete kwa kutotoa trekta?
Unatulaumu waTanzania?
Kuna waTz wangapi hawana jukwaa la kumlalamikia raisi?
Unaona Majuto anastahili kuliko watu wote?
Umeziangalia fursa alizowahi kua nazo?
Hapa mm sioni 7bu ya kumlaumu JK kwani amefanya mengi sana kustawisha demokrasia ya nchi hii na kukemea udikteta (ukilinganisha na serikali ya sasa). Wanaopaswa kulaumiwa ni hawa wachumia tumbo wakubwa wanaojiita BASATA. Hawa wapuuzi badala ya kuendeleza wasanii, badala yake wanawakandamiza na kuwarudisha nyuma. Kwa mfano, chukulia sakata la Diamond kunyimwa kibali cha kwenda kuperform nje ya nchi! Hawa ng'ombe ndio wanaopaswa kulaumiwa na kulaaniwa na watanzania wote. Inauma sana!Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto.
Taifa lipo msibani!

Watanzania mna hasira! Hahaha..
Okay nawatoa kwenye lawama, nabakisha ya JK na BASATA..
Kama mngenisoma vizuri, mngeelewa mantiki yangu.
Kikwete hata asingempa trekta, kwa nafasi yake bado alikuwa anao uwezo wa kuagiza mamlaka za chini yake ziangalie namna ya kumnufaisha au kuwanufaisha wasanii na kazi zao..
Hii mikataba mnaitaja taja tu lakini wasanii wanapigwa kinoma na hawana ubavu wa kujitetea. Mamlaka zina nguvu ya kuhakikisha hawaonewi!
Hili ni dongo kwa mamlaka. Msome katika urari huo!
Yule mzee amefanya kazi ya maigizo kwa muda wote.