Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anataka kujua hayo saa hizi! Sio ya muhimu hata kidogo!Ndugu naomba nitoe povu, tena la kiwango cha grisi. Hivi una uhakika kuwa mikataba aliyoingia, hela ilikuwa inaingia kwake? na alikuwa anapokea hela sahihi kulingana na kazi yake?
Yaani hujakoseawewe siyo nanili kweli?
Kwahio unasema hela zilikua zinaenda kwa kikwete hadi apewe lawaa??
Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto
[emoji15] [emoji15] watu wana hatari sana hawa!Trekta Ndio Aombwe Rais?
NONSENSE!!!!!!Taifa lipo msibani!

Rest in Peace King Majuto.
Kwani angepewa tractor ndio angepona, je wangapi serikali imewanunulia matrekta halafu yeye hakuwa mtumishi wa umma,kingine unapoomba jua kuna mawili kukubaliwa au kukataliwa.Pia kifo ni cha kila mtu na siku ikifika imefika au mlidhani Majuto ana nafsi tofauti,kifo kimeumbwa na kila nafsi itaonja mauti.Tuache kuwalaumu watu kwa kufurahisha nafsi,hapa hakuna cha aibu wala funzo,mtu kaigiza zaidi ya miongo 4 bado mnataka serikali imhudumie ,kila mtu abebe msalaba wake.Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto.
Hivi kweli unaweza andika uzi wa namna hii, of all the people, marehemu hakuwa anastahili msaada wa namna hiyo, labda ungesema lingine, Mwacheni JK apumzike acheni mambo ya kiswahili.Taifa lipo msibani!