Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

Chadema bhana,dj kalamba asali,makamu kaamua atafute huruma za mabeberu usa.
 
Chadema bhana,dj kalamba asali,makamu kaamua atafute huruma za mabeberu usa.
Sasa wanawapotosha wachungaji wa watu na kujifanya wana harakati alafu wakishawekwa ndani, wanakaa mbali nao. Walimpamba Mbarikiwa kuwa shujaa, sasa yupo kule Gereza la Ileje hana mbele wala nyuma. Sasa hapa Rungwe tunammendea mkewe tu.
 
Hata Nelson Mandela alikuwa analala peke yake gerezani miaka 27,waliokuwa nje ya magereza waliendelea kupaza sauti zao hatimaye Mandela akatoka gerezani na kuwa Rais wa nchi.
Wacha weeeee, jaribu na wewe basi. Sema upo wapi tukutafutie kesi ya kubaka ule nyundo 30 tuone kama utakuwa kama Mandela. Mpelekeeni jamaa sabuni pale Gereza la uanda Mbeya.
 
Mwambieni sasa Mwamakula baada ya msiba aende akaongoze wanakondoo wake. Ni muda mrefu hajawahi kupanda kwenye madhabahu kuongea mambo ya dini
Hivi, huyu ana q
Wanakondoo kweli? Wapi? Kanisa gani?
 
aise dah,
huko kwenu msibani unaalikwa? 😳
 
Kwamba kila mtu anaweza kupora mic na kutoa salanu ?
kwamba ndio jibu la mualiko msibani?

kwenye siasa na mambo mengine, ukimtegemea Mungu, kisha ukawa na hekima halafu ukajaaliwa uelewa au ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali,
hakuna kitu itang'angana kwa roho yako na utajikuta tu haunung'uniki wala kumlaumu huyu ama yule juu ya kwasabb yeyeote ile.....
 
Huna ujualo
 
Maombi ya CDM kwa watu ni mabaya sana, mnapenda matukio - CCM siku zote itawashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…