Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Hivi ni nani ambaye ametuvuruga akili na kukosa utu kiasi hiki? Ni nani ambaye anaweza kutumia japo 5% ya akili yake kutambua kuwa sio kila kinapaswa kuwa Spotlight mitandaoni?
Ni mtu yupi ambaye anaweza kutoka mbele ya hadhara na kusemea hili?
Dada yetu Carina alipoanza kuumwa, media mbalimbali zilikuwa zikiandika habari zake na kuwasihi watanzania wamuombee aweze kupata nafuu. Pia zipo media zingine zilifanya naye mahojiano na kumuuliza kitu gani kilikuwa kinamsumbua.
Ila nimeshangaa kuona namna ambayo kuna watu wachache ambao wanatumia Msiba huu kujipatia Spotlight. Jaribu kwa kiasi kuheshimu harakati za Marehemu Carina alizotumia kupigania uhai wake (sio jambo zuri kuona watu wakitengeneza contents za msiba kwa sababu ya Spotlight.)
Swali ambalo wengi wanauliza ni kuwa,
**Je mtu ambaye anatengeneza contents za namna hii, atakubali kuona watu wanatengeneza contents za wapendwa wake ili wajipatie likes, comments and share?
Ukienda Tiktok kila akaunti imesheheni picha za Marehemu Carina na kuonesha kugusa ilihali wanajua kabsa ingekuwa ni nafasi ya Mama yake asingeweza hata kufanya hilo jambo.
Msiba ni mwepesi ukiwa kwa jirani yako ila siku ukibisha hodi kwenye maskani yako, hata maji utaona ni kama hayakati kiu.
Pumzika kwa Amani Dada Carina.