Nani kakwambia unaweza kwenda kote?Embu chagua kimoja
Yani we acha tu...ndo nataka kujua kama ni kawaida!
Ngoja nimtimulie vumbi...hafai huyu!
wachungaji wa sadaka na michango ndio wa aina hiiMchungaji naomba nijiengue kanisani rasmi!Kama hata kumsapoti koondoo kwa hili huwezi basi bwana!
wewe ufanye urud mjini nimeshakumis mielizzy, kuna jamaa alichagua mnuso akakuachia msiba?