Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Nani kakwambia unaweza kwenda kote?Embu chagua kimoja
Ngoja nikupiem jibu! Msiba unaweza piga simu na kulia kizushi, ila sherehe shurti uwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia unaweza kwenda kote?Embu chagua kimoja
Yani we acha tu...ndo nataka kujua kama ni kawaida!
Ngoja nimtimulie vumbi...hafai huyu!
wachungaji wa sadaka na michango ndio wa aina hiiMchungaji naomba nijiengue kanisani rasmi!Kama hata kumsapoti koondoo kwa hili huwezi basi bwana!
wewe ufanye urud mjini nimeshakumis mielizzy, kuna jamaa alichagua mnuso akakuachia msiba?