Msiba Wa Mwana JF

Msiba Wa Mwana JF

Poleni sana wafiwa. Hii ni njia yetu wote tujiweke tayari kukabiliana nayo
 
Ayubu 1:21.
Akasema, (Ayubu) Mimi nalitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Yehova alitoa, na Yehova ametwaa; Jina la Yehova na libarikiwe.

Amen
 
poleni sana wafiwa.
roho ya marehemu ipate mapumziko mema
 
Back
Top Bottom