Msiba wa Ruge uwe fundisho Kwa maprofesa

Msiba wa Ruge uwe fundisho Kwa maprofesa

Lakini ruge hakuisaidia familia yake kwa mujibu wa mbaki alikua waru waru tu mtaani
 
Mkuu watu wote twende huko chuoni tukawachungulie wanafanya nini itawezakana? Boss Ruge watu walimfahamia huko huko kwenye kata zao akiwahamasisha mambo ya fursa. Hao maprofesa wako wanafanya nn huku watanzania wakijijengea nyumba mabondeni na kwenye road reserves, tena nyumba zinazojengwa kiholela bila ramani, matofali duni, wakandarasi duni,
Mbona huku kwetu watu hata hawamjui huyo Ruge
 
Uzuri anaezikwa wala hatambui lolote. Hivyo kuzikwa na watu wengi au wachache haina impacts zozote kwa marehemu. Ndo maana Karl lagarfeld alisema hataki heka heka kwenye msiba wake. Kachomwa yameisha. Alitaka apotee kama wanyama wanavyopotea wakifa mbungani.
 
Lakini ruge hakuisaidia familia yake kwa mujibu wa mbaki alikua waru waru tu mtaani
Kama ni hivyo unaweza kusema hata Mwl. Nyerere hakuisaidia familia yake. Watu wenye akili nyingi hawajioni wao, familia, ukoo, kabila wala kanda yake anakotoka. Siku zote wanafikiri big ngazi ya jamii, taifa, bara na dunia. Maprofesa wetu wengi wanaishia kwenye kuwa na benz, landcruiser, nyumba ya ghorofa mbili, shamba eka 10, kusomesha watoto nje ya nchi, na kuozesha watoto wao kwenye sherehe yenye bia nyingi na ukumbi mkubwa, basi kamaliza. Jitihata zake zote za kusoma, kusafiri, kufanya tafiti na kufanya kazi ni kwaajili ya kuvipata vitu hivi tu. Hawaandiki hata vitabu wa wanayoyafahamu vya kuwaachia watu wawakumbuke watakapoondoka wala kuisaidia jamii kwa kitu chochote. Hata kufundisha anafundisha ili apate mshahara tu baaaasi!
 
Kufa kufa tu...thread kama hii sioni mantiki yake...
Kila nafsi itaonja mauti na lazima utazikwa iwe na watu kiasi gani sio hoja size ya kaburi moja….
BADO NA UMAARUFU ALIKOSA MISA YA HESHIMA...binadamu tuna mapungufu na mazuri mengi KUNA DADA WA MZUMBE UNIVERSITY KIPOFU MICHANGO YAKE MAPAKA LEO HAJAPATA
MWACHE APUMZIKE KWA AMANI......
 
kufa si kufa tu lakini umeacha nini na umekamilisha nini chenye manufaa kwa watakaobaki. Hata Yesu amekufa lakini tunamtaja kwa wingi hadi kesho, Akina Kairuki walikufa lakini anahudumia waliohai hadi kesho, Akina Mengi, Bakheresa hata wakiondoka leo maiti zao hazitaoza milele.
 
Uzuri anaezikwa wala hatambui lolote. Hivyo kuzikwa na watu wengi au wachache haina impacts zozote kwa marehemu. Ndo maana Karl lagarfeld alisema hataki heka heka kwenye msiba wake. Kachomwa yameisha. Alitaka apotee kama wanyama wanavyopotea wakifa mbungani.
kuzikwa au kuchomwa moto ni mulemule tu, tofauti ni utakumbukwaje.
 
Maprofesa wetu wamezaliwa kijijini na wakunga wa jadi, walichapwa sana shuleni hadi wanaingia woga na hofu iliyobaki vifuani mwao hadi uzeeni.

Professor wetu hawezi kujiajiri mwenyewe hata kidogo, atazeekea kwenye vibarua na atafia kwenye vibarua vya watu. Amejaa hofu ya maisha, Hana ndoto amejaza tafiti asizoziamini, ziko kabatini kwake hakuna hata moja aliyoitekeleza. Akiulizwa anakwambia no funds. Akina Ruge walikuwa wanatafuta funds za kutengeneza ndoto zao ziwe kweli.

Haaaaaa! uko sawa mkuu.
 
Wanaogopa kila kitu na kusifia kila kitu kulinda ajira zao. Think tank iliyojazwa woga na hofu ya kujiajiri, kukosoa, na kuongoza. Hata wakipewa nafasi za kutoa maamuzi hawana tofauti na wasiosoma sana.
 
Back
Top Bottom