- Mkuu WoS, pole sana na msiba huu na kama kawaida hapa sisi wote ni ndugu, iwapo unahitajika msaada wowote ulio katika uwezo wetu usisite kusema mkuu, siku zote tupo hapa pia kwa ajili ya each other, kwa hiyo tupo pamoja mkuu na wakati wowote.
Mungu akubariki wewe na familia yako muweze kukipita hiki kipindi kigumu sana cha maisha ya bin-adam, na pia ambariki marehemu.
Respect.