Msiba

Msiba

Daaaa hawa majambazi watatumaliza jamani ,Afande Mwema upoooo? Marehemu R.I.P na poleni sana wafiwa.
 
Pole sana Eaka na familia kwa ujumla, Mwenyezi Mungu awatie nguvu.
 
Poleni sana........Mungu awape nguvu na subira......ameen
 
Kaka Pole sana kwa msiba. MUNGU ailaze mahali pema peponi roho ya kaka yetu.
 
Ndugu Zangu wana JF
Natanguliza shukrani zangu za pekee kwenu kwa salamu zenu za dhati na za faraja kwetu katika kipindi chote cha msiba. Marehemu Amedeus alilazwa katika nyumba yake ya milele tarehe 1/6/10 pale Kibosho Sisa Maro.
Sio rahisi kuwataja wote kwa majina ila nasema nashukuru sana kwa faraja zenu. Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
 
Pole sana, Mungu akupe nguvu wewe pamoja na familia kwa ujumla katika kipindi hichi cha majonzi,

Inasikitisha sana kwa kweli..


POleni sana kaka wewe pamoja na Familia nzima Mungu awafanyie wepesi.
 
Back
Top Bottom