Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Muafrika.
Jamaa anatinga magwanda na vimaneno vya ushujaa, na mnamuona mkombozi, aaah wapi, Africa ishakuwa corporate hii, africa ni mgodi😂😂
Kama aliivyoingia kwa force atatoka kwa force na vitu vyenu😂, chezea ngozi nyeusi wewe mla matofali aka ugali