Msibabaike na magwanda na PR Traore. Mwafrika ni Mwafrika tu. Lazima ajikusanyie vya kwake vya kutosha

Ni kama unamuonea wivu vile
 
hatufanani, watu wenye uchungu na mataifa yao bado wapo, sema wakijaribu kutekeleza yale wanayokusudia na vile wanataka nchi zao ziwe WANAKWAMISHWA hasa na mataifa makubwa yenye mikono yao kunako nchi husika.
Bwana mdogo traore yuko sahihi, kama ingekuwa ni wa kujilimbikizia mali asingewafukuza wazungu kule na kuondoa mifumo yao ya kikoloni.
 
Corporate Nini nisaidie
 
Kwa akili za hivi
kweli watu hatufanani
Pole sana
 
U Ubovu wako usiniambukize mimi.
 
sawa ila anavyovifanya havikiwah for 200burkinafaso havijawah kufanyika.na mbona sasa hadi yues kuna ufisadiqu hujaiona doge team ya eleon musk inavopata watumish hewa
 
mseme raisi wako uliopo nchini mwako achana na yatu .we tengeneza ccm kuwa soko la mboga mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…