Msibabaike na magwanda na PR Traore. Mwafrika ni Mwafrika tu. Lazima ajikusanyie vya kwake vya kutosha

wewe sijui ni mwafrika wa aina gani????unaponda waafrika wenzako,,,mbona kuna wzungu walikuwa wapumbavu na hausemi?...akina adolf hitler,mussolin, na sasa kuna huyu zelensky.....lakini hausemi,,,ok,,,,kuna wazungu kama kina tony blair,,,waliziziztiza tusipohalalisha ushoga hatutapewa misaada!!!
 
Kweli 100% ndo mana simsuprt kwa vijimaneno vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…