Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Hiki kizazi kimeanza kuzikana kwenye hii misiba yao aibu unataona wewe.
Hii hotuba ya kaka wa Marehemu inatafakarisha sana.
Nikwamba Gen-Z na Millennial hawanamiiko ya kutoongelea dhambi za aliyetangulia, hapo wanataja uzinzi wa Marehemu hadharani bila ya staha🙌🏾
Naanza kuamini maneno ya hiki kizazi kuwa "Mitaa imewalea".
Siwezi kusema huu ni mmomonyoko wa maadili, ila hawa vijana wamenyooka sana kiasi kwamba hawajali hata siri za Marehemu.
Uzee wetu utakuwa na tabu sana🙌🏾