Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
chungu wa kifo ni ule ule!Hiki kizazi kimeanza kuzikana kwenye hii misiba yao aibu unataona wewe.
Hii hotuba ya kaka wa Marehemu inatafakarisha sana.
View attachment 3642275
Nikwamba Gen-Z na Millennial hawanamiiko ya kutoongelea dhambi za aliyetangulia, hapo wanataja uzinzi wa Marehemu hadharani bila ya staha🙌🏾
Naanza kuamini maneno ya hiki kizazi kuwa "Mitaa imewalea".
Siwezi kusema huu ni mmomonyoko wa maadili, ila hawa vijana wamenyooka sana kiasi kwamba hawajali hata siri za Marehemu.
Uzee wetu utakuwa na tabu sana🙌🏾
Tafuteni majina yenu jamani hayo majina ya Kimarekani Gen-Z na Millenials yana maana maalum kutokana na historua na muktadha wa Marekani, mkiyachukua tu na kuwapa Watanzania inachekesha na kusikitisha kwamba mna uvivu mpaka majina ya vizazi mnachukua ya Wanarekani.Hiki kizazi kimeanza kuzikana kwenye hii misiba yao aibu unataona wewe.
Hii hotuba ya kaka wa Marehemu inatafakarisha sana.
View attachment 3642275
Nikwamba Gen-Z na Millennial hawanamiiko ya kutoongelea dhambi za aliyetangulia, hapo wanataja uzinzi wa Marehemu hadharani bila ya staha🙌🏾
Naanza kuamini maneno ya hiki kizazi kuwa "Mitaa imewalea".
Siwezi kusema huu ni mmomonyoko wa maadili, ila hawa vijana wamenyooka sana kiasi kwamba hawajali hata siri za Marehemu.
Uzee wetu utakuwa na tabu sana🙌🏾
Haya sasa BAKITA, Tupe wewe hayo majina 😁.Tafuteni majina yenu jamani hayo majina ya Kimarekani Gen-Z na Millenials yana maana maalum kutokana na historua na muktadha wa Marekani, mkiyachukua tu na kuwapa Watanzania inachekesha na kusikitisha kwamba mna uvivu mpaka majina ya vizazi mnachukua ya Wanarekani.
Mimi napinga uwepo wa BAKITA na sojafurahia wewe kuniita jina hilo.Haya sasa BAKITA, Tupe wewe hayo majina 😁.