Msibani kwa mama Zari Uganda

Msibani kwa mama Zari Uganda

Maskini, this is sad! May she RIP na Mungu awasaidie wafiwa
 
Rambirambi vipi! Hatutajengea barabara!
 
May Jah rest her heart in eternal peace.
 
Kama kawaidaaaaaaaaaeeeeeeee msiba uganda maombolezo na majonzi BONGOOOOOOLENDIIIIIIIIIIIIIIIII.
 
Du huyu dada ana roho ngumu lipstic wig na wanja mama yako kanyooka chumbani du siwezi
 
Mfiwa alipokuwa akijisikia kulia alikuwa anakimbilia chumbani,ili asipingwe picha.
Anaogopa make up itatoka tuone uumbaji wa Mwenyezi Mungu na si uumbaji wa make up! Zari ni mwanamke wa ajabu Hii dunia ina mambo banduguuuuuu khaaaa uso uwe na haya kidogo chaaaa! RIP bibi Tifa.
 
Back
Top Bottom