Msichana alivyonizingua na kuniacha, sielewi kitu

Msichana alivyonizingua na kuniacha, sielewi kitu

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
505
Wanajanvi kwema? Ninaleta kwenu stori ya kweli ya mkasa uliyonikumba mimi mwenyewe hivi karibuni. Miezi minne iliyopita nilikuwa safarini kutokea Singida Kuja Dar, nikiwa stend Singida nilipanda bas lililotokea Mwanza kuja Dar, bahati nzuri siti ya Jirani kulikuwa na Msichana mwembamba mrembo, nilimsemesha tukazungumza, tulizoeana kiasi cha kufanya hata watu watuone kama tulikuwa wapenzi.

Kiukweli safari yangu ilikuwa njema na fupi. Sasa tulipeana mawasiliano ili tutaftane siku iliyofuata tukiwa jijini Dar,kesho yake mapema tu nilimtafta ila alinijulisha kuwa amekwea pipa kuelekea Zanzibar,nilimuuliza anarudi lini akajibu baada ya wiki 2 baada ya siku hizo 2 alirudi.

Nikamuomba tuonane ikashindikana. Pia nilijaribu kumdodosa kuwa anafanya kazi gani / au anasoma chuo gani ila alikataa kuniambia kabisa. Baada ya Mwezi hivi alinambia anaenda tena Shinyanga. Bahati nzuri na mimi baada ya siku 2 nikadaka bombadia mpaka Mwanza ili kupiga mishemishe binafsi.

Nikamjaribu tena atoke Shy Town aje, mara pap mrembo akaingia na tulifurahi sana kuonana tena, usiku ule ulikuwa special night, mtoto alijikok ili kunikata kiu kabisa, kiuno chake chembamba kilivutia kikiwa amekivalisha cheni nyemba ya dhahabu, chuchu zake zilizosimama kama embe bolibo aliziacha tu bila sidiria ili zinichomechomo. Kiukweli a day was a day. Kama ushindi niliuoata wa kutosha magoli aliyofungwa simba jana ni machache.

Sasa kinachoniumiza ni kuwa msichana hakutaka kuniambia kuwa anafanya kazi gani/ anaishi wapi au anasoma chuo gani? Ameolewa? Anamchumba au hana? Tuliagana vizuri next day,nikaekekea airport ili kurudi Dar na yeye akaelekea stendi ya Nyegezi ili kupanda bas la shinyanga. Niliendekea kumsihi aniambie habari zake alijataa kabisa alinambia atanambia kwenye simu.

Mpaka sasa ni miezi kadhaa simu yake haipatikani, nimebaki namkumbuka tu binti huyo wa Kisukuma, mrembo, mpole asiye na maneno wala makeke ila amejaliwa adabu na utii kwa mwanaume.
 
Kuna watu wanakua kama malaika

Wanakuja for while then wana disappear for rest of your life

Kuna mdada mmoja nilimeet nae 2017 Kinondoni Biafra)na mwingine ilikua 2018(Mbeya),,
Till today nimewa search mitandao yote na namba zao hazipatikani nimewamis ila ishakua historia (Walinishawishi sna)
 
Na siku ukikutana na shemale ulete uzi humu
 
Ulitaka kupeleka barua ya maombi ya kazi? Au unataka kuomba nafasi katika chuo anachosoma?

Mkuu, wewe umeshakula. Na bila shaka hujamridhisha.. Vinginevyo angekutafuta yeye mwenyewe. Magoli meengi lakini mchezo wa hovyo.
 
Back
Top Bottom