Msichana alivyonizingua na kuniacha, sielewi kitu

Ulitaka kupeleka barua ya maombi ya kazi? Au unataka kuomba nafasi katika chuo anachosoma?

Mkuu, wewe umeshakula. Na bila shaka hujamridhisha.. Vinginevyo angekutafuta yeye mwenyewe. Magoli meengi lakini mchezo wa hovyo.
Umemaliza.....
 
Mkuu kamlete dada ako atakupa mrejesho kuhusu kuridhika. Fundi huwa hajisifii ila mtoto ye mwenyewe aliinjoy vyakutosha. Sijawahi kushindwa kumridhisha mtu
 
Pole sana, wakati unamuuliza mlikua mesimama kwenye vumbi na juani au?
 
Back
Top Bottom