Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Umemaliza.....Ulitaka kupeleka barua ya maombi ya kazi? Au unataka kuomba nafasi katika chuo anachosoma?
Mkuu, wewe umeshakula. Na bila shaka hujamridhisha.. Vinginevyo angekutafuta yeye mwenyewe. Magoli meengi lakini mchezo wa hovyo.