Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hakuna msichana anaekuaga busy kama ambae hakutaki...
Anaweza kukuambia good night saa 8 mchana
Wanaume tunapitiaga mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa tumekusikianimecheka sana jaman !dah !na vile hamsomagi ht nyakati mpo tu!
Tumeshakubaliana na hali zetuHakuna msichana anaekuaga busy kama ambae hakutaki...
Anaweza kukuambia good night saa 8 mchana
Wanaume tunapitiaga mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wimbo wa wanaume tumeumbwa mateso unaoochukua nafasi yakeHakuna msichana anaekuaga busy kama ambae hakutaki...
Anaweza kukuambia good night saa 8 mchana
Wanaume tunapitiaga mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]