M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Mar 14, 2023 #1 Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
KIDUME20 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2023 Posts 1,951 Reaction score 4,540 Mar 14, 2023 #2 Mimi mstaarabu said: Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU Click to expand... Kuna mmoja ana miaka 30 ananiambia ye bado mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi mstaarabu said: Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU Click to expand... Kuna mmoja ana miaka 30 ananiambia ye bado mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣
M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Mar 14, 2023 Thread starter #3 Duh
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Mar 14, 2023 #4 Ana hamu ya shela sio! NB; sio kila ke aliumbwa ataolewa, wengine wanaishia kuota ndoto tu
Tyrone Kaijage JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 1,617 Reaction score 3,405 Mar 14, 2023 #5 mbalizi1 said: Ana hamu ya shela sio! NB; sio kila ke aliumbwa ataolewa, wengine wanaishia kuota ndoto tu Click to expand... Kuna manzi mmoja anasema hili, yeye kaolewa na ana two kids…..
mbalizi1 said: Ana hamu ya shela sio! NB; sio kila ke aliumbwa ataolewa, wengine wanaishia kuota ndoto tu Click to expand... Kuna manzi mmoja anasema hili, yeye kaolewa na ana two kids…..