Msichana aliye okoa maisha yangu

Mwana nitajie jina analotumia Facebook., just fahari ya macho..))
 
Duh mshukuru Mungu wako maana umeponea kwenye mdomo wa simba
 
Mwana nitajie jina analotumia Facebook., just fahari ya macho..))

hata siwez kwakuwa mwenyewe hajawa tayari kujiweka waz kwamba ana h.i.v kwa nin mim niingilie uhuru wake kwa kumweka wazi.
 

Watoto mapacha,means ni mimba mojaa tu
 
Kwa ushauri tu kaka angu huyo dada alikupenda kama rafiki wa kawaida tu n sio vinginevvyo

tatizo wanaume mna roho za kujaribu sana

dunia ya sasa ubiuty na uhandsome ni wa nje tu ndani kuna amatatizo kibao

ila hilli ni fundisho kwa wengine ,kama unazawadi yoyote mpe tu huyo dada

cz anastahili pongezi

bs hapo mwenyewe ulikuwa unamng'ang'aniza penzi weeee...mpaka bs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…