Uko sahihi. Huyu lazima ni XY kinasaba (masculine genetically). Inawezekana alizaliwa na ambigious sex organs na madaktari wakazirekebisha hizo sex organs zake tata kama ulivyoeleza. Lakini pia inawezekana alikuwa na testosterone insestivity syndrome au kwa jina la zamani Klifeters syndrome) na madaktari wakamrekebisha kihomoni na kumtengenezea phalous ( uume) bandia by reconstructive plastic surgery. Tatizo litabaki kuwa hatakuwa na uwezo wa kuzalisha mwanamuke kama atakuwa ni Kliniferters syndrome aliyetengenezewa uume bandia. Hata angeendelea na hiyo phenotype yake ya kike bado hangeweza kuzaa.
Hakuna maajabu wala uchawi wo wote hapa bali ni sayansi tu mbele kwa mbele. Bahati nzuri kwa mara ya kwanza tumepata rais ambaye ni mwanasayansi na tunatarajia mambo kama haya jamii yetu itakuwa na ufahamu nayo baada ya kurekebisha mfumo wa elimu nchini na kutoa kipaumbele wa masomo ya sayansi.