Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana paipuSasa huko chini yukoje?!
Ana Ududu au Ana rambo?!
Valentina Mbugua...!!Hii ni changamoto kwa wanaume ambao tutaoa baadaye. Unaweza dhani umeoa Valentina Mbugua, kumbe alizaliwa Valentino.
Like plastic and cosmetic surgeries weren't enough to freak us out, damn!
Valentina Mbugua...!!
Ana kifaa cha kiume?
Sasa huko chini yukoje?!
Ana Ududu au Ana rambo?!
Kwanini?Mmmh, Allah atunusuru
Kwa PhD ya mabibo, utasubiri sana. Tena ya 3yrs off campas.Uko sahihi. Huyu lazima ni XY kinasaba (masculine genetically). Inawezekana alizaliwa na ambigious sex organs na madaktari wakazirekebisha hizo sex organs zake tata kama ulivyoeleza. Lakini pia inawezekana alikuwa na testosterone insestivity syndrome au kwa jina la zamani Klifeters syndrome) na madaktari wakamrekebisha kihomoni na kumtengenezea phalous ( uume) bandia by reconstructive plastic surgery. Tatizo litabaki kuwa hatakuwa na uwezo wa kuzalisha mwanamuke kama atakuwa ni Kliniferters syndrome aliyetengenezewa uume bandia. Hata angeendelea na hiyo phenotype yake ya kike bado hangeweza kuzaa.
Hakuna maajabu wala uchawi wo wote hapa bali ni sayansi tu mbele kwa mbele. Bahati nzuri kwa mara ya kwanza tumepata rais ambaye ni mwanasayansi na tunatarajia mambo kama haya jamii yetu itakuwa na ufahamu nayo baada ya kurekebisha mfumo wa elimu nchini na kutoa kipaumbele wa masomo ya sayansi.
wafupi tunayo kaziShe's handsome ila ni mfupi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]wafupi tunayo kazi