Msichana aliyepooza mwili mzima adaiwa kubakwa Mkoani Mara

Msichana aliyepooza mwili mzima adaiwa kubakwa Mkoani Mara

Huyo jamaa naye abakwe.
Yaani kuna watu wana akili za kujamba tu,iweje mtu ana miaka 45 anabaka binti wa miaka 19 tena mlemavu??
Narudia tena kusema naye abakwe tu.
 
Ila huko Mara na kanda ya ziwa kwa ujumla Mna Matatizo makubwa nahisi na laana.

Hamuishi kufanya matukio ya kinyama.
 
Kamata hiyo mbuzi, ikate kende moja moja bila ganzi, kisha fyeka kabisa na rungu kipepe..

Huyu ni shetani
 
Back
Top Bottom