mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 7,938 Reaction score 17,729 Sep 30, 2022 #21 Sheikh juma kazingua
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Sep 30, 2022 #22 Depal said: So sad aisee,, ama ni imani za kishirikina? Mtu mzima mwenye akili unakuwaje na genye za kishamba hivyo 🤔 Mungu aturehemu na haya mapito ya dunia, yasiwe too negative 🙌 Click to expand... Watu wamekosa utu
Depal said: So sad aisee,, ama ni imani za kishirikina? Mtu mzima mwenye akili unakuwaje na genye za kishamba hivyo 🤔 Mungu aturehemu na haya mapito ya dunia, yasiwe too negative 🙌 Click to expand... Watu wamekosa utu
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Sep 30, 2022 #23 Huyo jamaa naye abakwe. Yaani kuna watu wana akili za kujamba tu,iweje mtu ana miaka 45 anabaka binti wa miaka 19 tena mlemavu?? Narudia tena kusema naye abakwe tu.
Huyo jamaa naye abakwe. Yaani kuna watu wana akili za kujamba tu,iweje mtu ana miaka 45 anabaka binti wa miaka 19 tena mlemavu?? Narudia tena kusema naye abakwe tu.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Sep 30, 2022 #24 Ila huko Mara na kanda ya ziwa kwa ujumla Mna Matatizo makubwa nahisi na laana. Hamuishi kufanya matukio ya kinyama.
Ila huko Mara na kanda ya ziwa kwa ujumla Mna Matatizo makubwa nahisi na laana. Hamuishi kufanya matukio ya kinyama.
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Sep 30, 2022 #25 Jamaa alishindwa hata kumwaga sera akubaliwe? Sasa anaenda kuozea jela.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 1, 2022 #26 Inasikitisha sana...
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Oct 1, 2022 #27 Akipata ujauzito itakuwaje?
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,573 Reaction score 2,807 Oct 1, 2022 #28 mkorea said: Sheikh juma kazinguaa Click to expand... mkorea said: Sheikh juma kazingua Click to expand... acha wenge juma ni mkiristo hyo..
mkorea said: Sheikh juma kazinguaa Click to expand... mkorea said: Sheikh juma kazingua Click to expand... acha wenge juma ni mkiristo hyo..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Oct 1, 2022 #29 Kamata hiyo mbuzi, ikate kende moja moja bila ganzi, kisha fyeka kabisa na rungu kipepe.. Huyu ni shetani
Kamata hiyo mbuzi, ikate kende moja moja bila ganzi, kisha fyeka kabisa na rungu kipepe.. Huyu ni shetani