Kidato cha one unamaanisha aliishia form one?Habar wapendwa
Kuna huyu dada angu ana miaka 25
Elimu kidato cha one
Amesomea utalii ngazi ya certificate
Anaomba muamsaidie kazi yeyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato
Anapatikana moshi kilimanjaro
Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar
Mawasiliano+255760119470
Nadhani ni typing error kwa sababu form one haweze kupata certificate ya UtaliiKidato cha one unamaanisha aliishia form one?
From one! Typing error tena.Nadhani ni typing error kwa sababu from one haweze kupata certificate ya Utalii