Dominik Dominik
Member
- Jun 3, 2025
- 94
- 153
Ni Dalili ya Kwanza ya kukudharau na huonesha hajavutiwa na wewe. Hili utalielewa ukishakuwa Mhengakuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme.
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
Hahaha.....japo aambulie chochote na yeyeHiyo ni kuviziana, wakati wewe unataka upige kwanza kabla ya kutoa hela, yeye anataka ale hela kwanza kabla ya yeye kuliwa
Maana anaweza kupigwa halafu jamaa akaona haelewi akasepaHahaha.....japo aambulie chochote na yeye
No refiorms No electionkuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme.
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
ndo naona ananitext kuwa mbona nipo kimya,ananihoji ndo tabia gan? kasahau asubuhi nimemtumia vochaFuta namba yake
hatari kakaTAbia za mademu waswahili izo
kweli broHajakupenda ila anapenda kukuchuna