Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
duh sasa hii too muchNi mapato na matumizi shem.....
Mapenzi yafutweduh sasa hii too much
ananiambia ni mlokole,kila dakika anajibu ni kweli mtumishi,ila omba omba yake siielewHuyo malaya ila kama umeomba tunda bas yupo sawa nayeye kutangaza njaa
ko wamestukia styles zetu🥲Hiyo ni kuviziana, wakati wewe unataka upige kwanza kabla ya kutoa hela, yeye anataka ale hela kwanza kabla ya yeye kuliwa
nomaanamaanisha wewe ni zwazwa
bro mi hb mzuri tuu😤😤Ni Dalili ya Kwanza ya kukudharau na huonesha hajavutiwa na wewe. Hili utalielewa ukishakuwa Mhenga
Psmoja na U Hb wako inatakiwa pesa hapo.bro mi hb mzuri tuu😤😤
sasa hicho si ndo kitafanya ndege apepee mzeey,na atanistukia mapema kuwa lengo langu ni kupass throughungemwambia aifate ghetto
Kakubali maana yake.kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme.
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
View attachment 3377082
si ndo misingi yenyeweNa wewe kumuomba namba na kutaka urafiki wakati humjui ndo kumaanisha Nini?
kuna taratibu zake mkuuKama huna uwezo wa kumpa laki akipata mimba utaleaje?
Kuwa HB sio advantage sana.bro mi hb mzuri tuu😤😤
ko nimwage minot tuuAnatest kama we ni bahili au laa...