wakuoa
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au mwembamba wa kupindukia(awe na umbo la kimazoezi). Kwa yeyote anayekizi vigezo hivyo ani PM.

Wewe unataka vigezo hivyo, je vigezo anavyotaka yeye wewe unavyo?
Pili, msichana anayejiheshimu hapatikani JF. Nenda Church au masjid
Mkuu, what do you mean? Is this another sexist stereotype?Wewe unataka vigezo hivyo, je vigezo anavyotaka yeye wewe unavyo?
Pili, msichana anayejiheshimu hapatikani JF. Nenda Church au masjid
nina umri wa miaka 24, urefu 6.2 inches, elimu ya chuo kikuu..
Unamanisha nini kusema hayo usojijua?Wewe unataka vigezo hivyo, je vigezo anavyotaka yeye wewe unavyo?