Msichana anayejiheshimu.

Msichana anayejiheshimu.

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au mwembamba wa kupindukia(awe na umbo la kimazoezi). Kwa yeyote anayekizi vigezo hivyo ani PM.
 
Nataka kuoa? Unataka kumajiri? Strange. Au unataka kuvuna viungo?

Labda utampata humu. Lakini whatever the case, treat her well. Otherwise.....................
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nataka kuoa? Unataka kumajiri? Strange. Au unataka kuvuna viungo?

Labda utampata humu. Lakini whatever the case, treat her well. Otherwise.....................

wakuoa
 
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au mwembamba wa kupindukia(awe na umbo la kimazoezi). Kwa yeyote anayekizi vigezo hivyo ani PM.

Hiyo kwenye nyekundu utaitafuta sana huipati ng'oo!
 
Bora ungesema kabisa mapema. Maana siku hizi wanatafutwa pia wasichana wa kulisha watu sumu.

dini si tatizo, ilimradi awe amestaarabika..
 
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au mwembamba wa kupindukia(awe na umbo la kimazoezi). Kwa yeyote anayekizi vigezo hivyo ani PM.

Wewe unataka vigezo hivyo, je vigezo anavyotaka yeye wewe unavyo?

Pili, msichana anayejiheshimu hapatikani JF. Nenda Church au masjid
 
Wewe una vigezo gani na umri gani. Kwa umri huo uliotaja na vigezo hivyo bado hajakuwa na kuaminika.
 
Mkuu, what do you mean? Is this another sexist stereotype?
Una maana msichana anae jiheshimu hana access na internet?
Na akiwa nayo asiingii JF? sijakuelewa hapo, fafanua please...
 
Wewe una vigezo gani na umri gani. Kwa umri huo uliotaja na vigezo hivyo bado hajakuwa na kuaminika.

nina umri wa miaka 24, urefu 6.2 inches, elimu ya chuo kikuu..
 
hakyanani, kama yule kijana wangu namlipia ada ili afanye haya ntaua mtu.

24? Unataka kuchafua mtoto wa watu bure.

amna kuchafua mtoto wa mtu, ni mipango tu na malengo endelevu
 
Hiyo kwenye nyekundu utaitafuta sana huipati ng'oo!

mbona wanawake waelewa wako wengi, labda uniambie wenye mapenzi ya kweli ndio hawapatikani!
 
Back
Top Bottom