Msichana anayepora kwa kutumia dawa

Msichana anayepora kwa kutumia dawa

Umeokota bibi ya Bar, mkilewa mkakulane kwa Lodge.

Wacha iyoo utakuja beba jambazi
Umeokota bibi ya Bar, mkilewa mkakulane kwa Lodge.
Screenshots_2023-04-10-18-17-14.jpg
 
Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka.

Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu.

Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu. Kuskia hivyo nikaagiza pombe nyingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.

Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari. Nikamwambia yule dada asukume gari. Kusukuma gari nikawasha na kutoroka. Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala. Nilifanya makosa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ulimkomesha comrade
 
Demu alikutana na mhuni zaid yake , aisee angekusafisha mpak hyo gar
 
Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka.

Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu.

Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana ameweka tembe kwa pombe yangu. Kuskia hivyo nikaagiza pombe nyingine baada ya kumaliza nikaenda na dada yule kwa gari langu.

Baada ya mwendo wa kilomita 30 nikazima gari. Nikamwambia yule dada asukume gari. Kusukuma gari nikawasha na kutoroka. Kwa mkoba wa dada nilipata tembe 30 za kulala. Nilifanya makosa kweli
Me sijui hata
 
Back
Top Bottom