Msichana apigwa na bwana wake baada ya kunyonya chuchu za Diamond

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Show ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa tofauti.


Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.






Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond






Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…