King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Du una story kama shigongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa aisee inawezekana ikawa ni zaidi ya Dozen 2 mmhwakapime ukimwi yawezekana hawako wa2 wako dozen
Mwanangu; pole sana na tena hongera kwa uvumilivu wako. Duh!!!!!!!! Ningekuwa na namba yako ya simu haki anani ningekutumia vocha uweke kwenye kimodem chako umalizie; imeishia wapi sasa??????????? Hata mimi yalinikuta ila hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
bab kubwa!
Du una story kama shigongo
Mi naona hata Shikonko ni cha mtoto kwa huyu Best!