Msichana kafunguka nifanyeje.

Hiyo kazi mloenda interview mlipata?au we umepata?asa ukimkubali mtaishije wkat wote jobless
 

Ndugu,hivi huo mstari upo sura gani vile?nimesahau...
 
Hiyo kazi mloenda interview mlipata?au we umepata?asa ukimkubali mtaishije wkat wote jobless


Kila mmoja anataka kubadilisha mwajili si unajua. Fist appointment huwa sio ile ulosomea ndugu.
 
achana nae
mara nyingi watu hutafuta ushauri kama hawa penda
wakipenda hawatafuti ushauri
 
Sidhani kama anamaanisha umuoe right away...anamaanisha muwe marafiki (bf/gf/fu*k mates) then hesabu zikikubali ndio mengine yfuate....nadhani ni weird msichana akwambie anakutaka kwa ajili ya kuwa f* mate...japo hilo laweza kuwa lengo...kutunza heshima yake anaingia kwa gia kubwa ya kuwowana.........upo////
 
Huyo binti yupo sahihi kuelezea hisia zake ila swala la ndoa ni kitu kingine na ukikosea kuowa mwanamke mwema basi na maisha utakuwa umeyakosea. Ndoa sio kitu rahisi kama watu wazaniavyo. Ila kama wewe unatabia za Aljandro basi kula mzigo
 

Malaya Huyo hajatendwa anakulia timing tu umgonge piga sepa zako
 

Hapo kwa red naona kama umechanganya changanya hii topic yake, so nimeshindwa kuelewa unamaanisha mke au mume?
 
Si umesema upo upo?Hata kama ukiambiwa anafaa haitakusaidia kitu!
 
usije kuwa unahitajika kutibu(kupoza) stress zake za mzeya aliyetosa zigo...mwisho wa siku akajisepea... Mimi huwa chanxea kama hizi zikitokea huwa nachangamkia ila huwa naingiza kichwa tu moyo nabaki nao...akizingua poa....
 
Sijaelewa.... anataka muoane sasa hivi?? If yes, ni mapema sana kusema hivyo kwa mahusiano yenu ambayo yamedumu kwa miezi mitatu unless kama amekuwa very desperate ktk mahusiano yaliyopita na kuhitaji kuoana kwa haraka. Kama hauko tayari kwa sasa ni vizuri uwe wazi kwake, ndoa sio kitu cha kujaribu! Ni muhimu kuwa na maamuzi ya kweli.
 

mmh kwaiyo weye huja wahi kuzini sisi tunao zini ni wa pumbavu duh.
 
Agalia ukweli wa kutoka moyoni mwako juu ya maamuzi magumu ya maisha yako.
 
Kama bado hujajipanga nibora ukamwambia ukweli ili ajipange na sidhani kama niwakati sahihi wa wewe kuoa wakati hujajipanga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…