Msichana kafunguka nifanyeje.

Msichana kafunguka nifanyeje.

Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi imepita. Mawasiliano hayakuwa kivile ila wiki hili amekuja juu sana kimawasiliano. Anasema ameshawahi kutendwa na Ex wake na pia keshaoa.

Amekaa miaka kaa mitatu hivi bila kuwa na mahusiano yoyote na mtu.
Ananambia eti anoana kuwa naweza kuwa mme wake kama nipo tayari.

Swali kwa miezi mitatu kweli inatosha kwake au ni mapema kwake kufunguka. Je inakuwaje nisipomkubali, Mi sijaoa mabinti wapo ila niponipo kwanza USHAURI WAKUU>

Mambo hayo hayana formula lakini mambo mawili ni lazima kutokea, yaani kufeli au kufanikiwa. Hakuna fundi ndugu yangu bali moyo ni muamuzi.
 
Ushauri wa kwanza unao wewe wengine ni kujazia tu, kipendacho moyo hula nyama mbichi
 
Back
Top Bottom