Msichana katumia namba ngeni kumtega jamaa'ake na jamaa kajaa

Msichana katumia namba ngeni kumtega jamaa'ake na jamaa kajaa

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Wasalaam wadau wa humu, sina mengi Leo naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni.

Kuna chaliangu ana mpenzi wake saiv wana miaka miwili katika mahusiano na wanaaminiana sana. Sasa Jana dem kamtumia text jamaa ake kwa namba mpya na kumtamkia kuwa anataka waonane amuelezee kuwa anampenda.

Chalii ikabidi amuulize jina huyo manzi, manzi kamtajia jina tofauti kabisa, kumuuliza namba katoa wapi dem hataki kumtaja mtoa namba...

Basi chalii kakubali kweli wakutane Ngarenaro primary apa dem kakubali, ila katika chatting dem alikua anamwambia chalii anampenda ila chalii kagoma kujibu nakupenda pia anadai wakionana ndo wataongea yote hayo.

Basi bhana ile saa11 kashafika Apo skuli anashangaa anamuona dem ake ndo anakuja doooh noma kinyama!!dem kalalamika sana chalii sio muaminifu ni msaliti mkubwa,mjuba kajitetea sana lakini dem haelewi.

Tumsaidie ushauri mwana coz hayuko sawa anajiona sio muaminifu na ukicheki wana mipango mikubwa sana.
 
Mwambie jamaa amkazie huyo Mwanamke amgeuzie kibao kwa nini kamjaribu. Na akifanye hicho kitendo alichokifanya huyo Mwanamke kiwe kosa. Afanye hivyo hadi demu aombe msamaha
 
Mwambie jamaa amkazie huyo Mwanamke amgeuzie kibao kwa nini kamjaribu. Na akifanye hicho kitendo alichokifanya huyo Mwanamke kiwe kosa. Afanye hivyo hadi demu aombe msamaha
Shukrani ngoja ntamwambia
 
Back
Top Bottom