Msichana katumia namba ngeni kumtega jamaa'ake na jamaa kajaa

Wanadai Mahakamani wanaiita "Entrapment", Wanaume tusiogope kabisa...
 
Ushamba huo, tena hao wadada ndo wahuni wahuni tu.

Mmoja hapa juzi Idd kaaga kwa mumewe anaenda sijui wapi, kaja kufumaniwa kijiwe cha gongo.

Wadada hebu tulieni msitutesee watoto wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ww ni mtto maana ungekuwa mtu mzima ungeelewa nn nimemaanisha so subir utafika wakat utaelewa kuwa mvumilivu muda utatoa majibu Takadini#
kwen mkubwa anatakiwa awe na miaka mingapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…