Niliwahi kuwa na girlfriend wangu zamani, nae alikuwa hivyo hivyo na alikuwa anachukia sana hali hiyo, hata mimi nilikuwa si enjoy. hivyo niamini, wasiwasi atakuwa nao,ingawa hasemi wazi.
Habari, mabibi na mabwana
Nina mdogo wangu wa kike ambaye sasa ana umri wa miaka 21 na ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu.
Cha kushangaza mpaka kufikia hapo alipo ana matiti maduchu mnooooo kama vijipu-kama mtoto wa darasa la pili. Anapovaa blauzi kifua kiko flat kabisaaa.
Nina wasiwasi na hali hii, Je tatizo ni nini?
Asanteni
Actually, anayeuliza ndiye mwenye hilo tatizo.mbona mwenyewe hana wasiasi we ndo uje uulize hapa kwa niaba na ukipewa jibu namna ya kuyaongeza utaenda kumshauri ama???