Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
Niliwahi kuwa na girlfriend wangu zamani, nae alikuwa hivyo hivyo na alikuwa anachukia sana hali hiyo, hata mimi nilikuwa si enjoy. hivyo niamini, wasiwasi atakuwa nao,ingawa hasemi wazi.
unawasiwasi kuwa shemeji zako hawa enjoy wakiwa na dada yako??