Msichana mrembo 23-29 yrs

Msichana mrembo 23-29 yrs

Ubuntuwize

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
312
Reaction score
93
Wakuu umofia kwenuu..
Twende kwenye mada husika. mimi ni kijana miaka 30yrs kwa sasa natafuta msichana mrembo awe rafiki kisha mpenzi.
1. Awe mkristo
2. Shule yeyote above form six
3. Awe mrembo.
Shukrani
 
Wapo ila wanataka wanaume warefu, je ww ni mrefu?
 
Natumai ww ni mrembo.
Kazi kwako ila wanaume wafupi wana gubu halafu hawajiamini kama utavumilia kila la heri.
Nb;utakuwa umemzidi urefu mkitoka itabidi mmoja awe anatangulia mbele[emoji3][emoji3]
Hahaaa, kwanini atangulie ?,tunaongozana vizuri tu kama nipo na first born wangu kumbe mume, nimekosa sifa ya urembo tu,ndyo kilichofanya nisiende pm kwake[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa, kwanini atangulie ?,tunaongozana vizuri tu kama nipo na first born wangu kumbe mume, nimekosa sifa ya urembo tu,ndyo kilichofanya nisiende pm kwake[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa, njoo pm kwangu mkuu. mimi nahitaji kichwa cha finance kama wewe hivi, maana napata shida sana juu ya financial management.

Nina imani utanisaidia kumanage fedha ili tujiletee maendeleo kwa speed ya light

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai ww ni mrembo.
Kazi kwako ila wanaume wafupi wana gubu halafu hawajiamini kama utavumilia kila la heri.
Nb;utakuwa umemzidi urefu mkitoka itabidi mmoja awe anatangulia mbele😀😀
Hahahaa.. kwani wanaume wafupi wamekosa nini mkuu...ubaguzi huo sasa??
 
Back
Top Bottom