ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga jf naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]
*ndugu zangu msopenda ujinga jf naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]