Msichana MuItaliano Alietekwa Nyara Kilifi, Kenya, Yuko Wapi?

zio

Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
33
Reaction score
22
Huyu msichana kutoka Italy ambaye alitekwa nyara pale Kilifi, pwani ya Kenya mwaka jana, Bi Silvia Romano, ni kama amesahaulika kabisa! Kuna wakati gazeti za Kenya ziliandika kuwa yeye bado yuko hai, na yuko Kenya.

Ni wapi Kenya magaidi wanaweza ficha mateka karibu mwaka mzima bila kujulikana?
Silvia Romano, Italian Kidnapped in Kenya Still Missing
 
Inaonekana huyu dada amepatikana, kulingana na hii tweet hapa.
 
mh walishindwa kumtafuta wakamsingizia eti ana husika na ma deal ya pembe za ndovu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜† hawa majiran zetu bana ....ata wale wa cuba si mapak leo haijulikan
 
Inaonekana huyu dada amepatikana, kulingana na hii tweet hapa.
Serikali yake je ya Italy inafanya Nini kuhusu Jambo hili?
 
Reactions: zio
Haha hapa umenikumbusha Malindi hawa Waitaliano wazungu wa unga walivyo pachafua ni watoto ma Halfcast kila mahali

Dah Mtwapa nitakuja tena
 
Reactions: zio
Haha hapa umenikumbusha Malindi hawa Waitaliano wazungu wa unga walivyo pachafua ni watoto ma Halfcast kila mahali

Dah Mtwapa nitakuja tena
Unaikumbusha mtoto georgina ndani ya malindi.....[emoji106]
Mtoto yani mgiriama muitaliano....niliringa nae zama hzo...
Duh!!sai hta sijui yuko wapi...mawasiliano yalikatika pole pole tu hadi zii...
 
Serikali yake je ya Italy inafanya Nini kuhusu Jambo hili?
Translation ya tweet hapo juu kanichanganya kidogo. Bado huyu dada hajulikani alipo. Jamaa mmoja toka Italy amesema hivi: โ€œWe are the second economic power in Europe and the seventh one in the World but in fact we canโ€™t do **** about our kidnapped citizenโ€ฆโ€

Haya mambo hayaeleweki.
 
Hajapatikana bado.
 
Hajapatikana bado.
Ni kweli bado hajapatikana. Ni jambo la kusikitisha sana. I canโ€™t even begin to imagine how the parents of the girl are feeling. Pengine mtoto wao anahitaji matibabu, na hawawezi kumsaidia.

Kweli hao waliomteka Romano ni watu wambaya zaidi ya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ