Msichana mwenye matatizo ya moyo (heart attack) afanye mara ngapi??

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
Wana jf naombeni ushauri nina mpenzi wangu wa kike anamatatizo ya moyo sasa tukiwa kwenye kale kamchezo huwa anachoka sana yani akijitahidi sana mara mbili na huwa anachoka sana sasa mimi nawaombeni ushauri niwe naenda mara ngapi sababu huwa naona kama moyo wake unamsumbua wakati wa majambozi.
 
nombeni ushauri mwanamke/msichana mwenye matatizo ya moyo afanye tendo la ngono mara ngapi kwa wiki na mume/jamaa ake aende mshindo mara ngapi ?
 
Mtu kapatwa na heart attack afu anatak kufanya ngono?
Am palalalaizid, how?

Mtu akipatwa na heart attack anatakiwa akimbizwe hospital, wewe unawaza kumngonoa?
 
Unaijua heart attack wewe?!
Segerea inakungoja mdogo wangu, we kazana tu! Na yeye motoni straight, si mnazini au umemuoa?!
Nenda hata mara kumi usijali!
 
Ndugu mtoa mada bila shaka inawezekana hufahamu maana na matumizi ya neno heart attack otherwise u wouldnt have used it here to describe the condition of ur subject

heart attack is a serious medical emergency and carries high mortality even in best centers or well resourced places. However this is not the topic in concern.

kuhusu kuongonoka kwa mtu mwenye heart problem, depends much ana aina gani ya ugonjwa wa moyo as kila ugonjwa merits special and unique consideration. In other words it is not generalizable.

What is generalizable ni kwamba kwa kila mtu mwenye heart problem awe makini linapokuja swala la kungonoka. This comes as kwenye tendo zima brings about excitement and increase work demand on the heart that may comprimise smooth function of the already sick heart and inadvertently cause fatal outcome. Matukio haya siyo mageni katika jamii zetu all over the world.

but just to re-iterate my point, specific heart conditions warrant specific health tips and advice but al together sex is not absolutely contraindicated, however adviced at 'owners' discretion.
 
Mtu kapatwa na heart attack afu anatak kufanya ngono?
Am palalalaizid, how?

Mtu akipatwa na heart attack anatakiwa akimbizwe hospital, wewe unawaza kumngonoa?

OMG
huyu mtu hatari sana.
 
Ndugu mtoa mada bila shaka inawezekana hufahamu maana na matumizi ya neno heart attack otherwise u wouldnt have used it here to describe the condition of ur subject

heart attack is a serious medical emergency and carries high mortality even in best centers or well resourced places. However this is not the topic in concern.

kuhusu kuongonoka kwa mtu mwenye heart problem, depends much ana aina gani ya ugonjwa wa moyo as kila ugonjwa merits special and unique consideration. In other words it is not generalizable.

What is generalizable ni kwamba kwa kila mtu mwenye heart problem awe makini linapokuja swala la kungonoka. This comes as kwenye tendo zima brings about excitement and increase work demand on the heart that may comprimise smooth function of the already sick heart and inadvertently cause fatal outcome. Matukio haya siyo mageni katika jamii zetu all over the world.

but just to re-iterate my point, specific heart conditions warrant specific health tips and advice but al together sex is not absolutely contraindicated, however adviced at 'owners' discretion.

na alivyotumia hilo neno kwa kujiamini nadhan mleta mada hana ufahamu wa heart attack,nashukuru umefafanua kwa kiasi fulani,lakini punguza kuchanganya lugha unavyofafanua kitu ili ueleweke vizuri sana, kwani unaonekana una knowldge nzuri ya medical.
 
Sio kila mtu anayeishiwa pumzi Ana tatizo la moyo. Inawezekana anasumbulia na chronic obstructive pulmonary disease au kifupi COPD, dalili kubwa ni kuishiwa pumzi, if that's true tatizo hili halina Tiba zaidi ya kuli manage/control kwa kufanya mazoezi kiasi, lakini ni vyema kumpeleka hospital kwa uchunguzi zaidi.
 
???? Age disuribution? Do you think hawa watakuwa wapenzi au wanandoa? Common things are common but rare things do occur. Wakati niko chuo kuna jamaa alikuwa ana demu mwenye heart problem na alikuwa anapatwa na syncope attacks mara nyingi, jamaa alivyojua akasepa. Mwanzoni hakujua kwamba huyo msichana yuko hivyo. Ni tatizo linaloleta sonona kwa mabinti wenye nalo ukichukuli nao wanapenda kujigijii. Ni sawa na msichana mzuriiïi akawa na kifafa, ipo siku utakutana naye psychiatric klinic maana kila anayemtoakea akienda kugegeda anamzimikia. Kinachofuata jamaa anasepa.
 
Naamini huyo mrembo wako anapata matibabu hospitalini. Angeweza kupata ushauri kwa daktari wake kutokana na ukubwa ama udogo wa tatizo alilonalo. Sex ni sehemu ya mazoezi na mtu mwenye shida ya moyo anaweza kuruhusiwa mazoezi kama sehemu ya matibabu
 
jf kweli vituko aviishi siku nyingine akipata heart attack muwaishe hospital fasta usimgegede
 
Ndugu mtoa mada bila shaka inawezekana hufahamu maana na matumizi ya neno heart attack otherwise u wouldnt have used it here to describe the condition of ur subject

heart attack is a serious medical emergency and carries high mortality even in best centers or well resourced places. However this is not the topic in concern.

kuhusu kuongonoka kwa mtu mwenye heart problem, depends much ana aina gani ya ugonjwa wa moyo as kila ugonjwa merits special and unique consideration. In other words it is not generalizable.

What is generalizable ni kwamba kwa kila mtu mwenye heart problem awe makini linapokuja swala la kungonoka. This comes as kwenye tendo zima brings about excitement and increase work demand on the heart that may comprimise smooth function of the already sick heart and inadvertently cause fatal outcome. Matukio haya siyo mageni katika jamii zetu all over the world.

but just to re-iterate my point, specific heart conditions warrant specific health tips and advice but al together sex is not absolutely contraindicated, however adviced at 'owners' discretion.

Ung'eng'e kazi kweli kweli; unajua unachosema ila ungekisema kwa kiswahili zaidi nafikiri tungeelewa zaidi, kuliko ulivyochanganya hivi na kukosea huko mkuu. Lakini asante sana kwa somo
 
nafikiri hta ushauri wenu hataki tena, maana kakimbia eti, jamaa ni muuaji tena anaenda mara 2, yani hatareee.
 
..........hivi na kukosea huko mkuu

mkuu gakato shukran, lakini kwa faida ya jukwaa hili na miki mwenyewe ninhependa kujua nimekosea wapi..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom