Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa

Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
 
Be patient! kama kweli unataka kumwoa usiwe na pupa. Lakini lazima uwe makini, usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Inawezekana hataki kukupa wewe, lakini kuna masela wanamega kinoma. Jaribu kuchunguza mkuu!!
 
Ameniambia mpaka tufunge ndoa. Nimemuuliza mara nyingi, yeye bikira, amenijibu hapana. sasa tatizo nini, aniielewi.
 
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?

Too short to be understandable.
Mmefahamiana lini??
Mnajuana kiasi gani??
Mmepima??
Unampenda kwa malengo gani??
Kama anasoma atashiriki vipi mapenzi???
 
subiri wakati ufike ila huwa ni bora uonje kwanza maana kuonja ukisha oa na akawa sio mtamu na ndoa umeshafunga utafanyeje sasa!
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
 
husninyo angalia hapa chini uone!!

The Following User Says Thank You to Husninyo For This Useful Post:

Susy (Today)​
 
Vuta subra, acha tamaa mkuu! Kama unahamu sana fanya mazoezi ya mwili wako utajisikia fresh. Subiri hadi umuoe utamfaidi sana
 
Ukifunga naye ndoa hicho unachokitaka sasa hivi si utakipata shida nini sasa be patient
 
Safi sana, huyo binti namsifu sana, ikibidi kukukubalia basi inatakiwa kuwa wiki moja kabla hamjafunga ndoa. Hapo atakuwa amehakikisha msimamo wako kwake.
 
Vumilia tu kaka labda hata aliyemkubalia mwanzoni akiwa na bikira alimuahidi ndoa kwahiyo kajeruhiwa,jaribu kutafiti zaidi.
Ila wakati ufaao ukifika(kuwa mkeo) mbona hutalalamika,jenga msingi imara sasa ili akuamini
 
Hapa kuna ajenda imejificha, hivi mkuu shida yako kumtaka huyo dada ilikuwa uzinzi au ndoa :shock:??? Kama uzinzi tafuta vyangumadoa ila kama mke huyo ndie anayefaaa!!!!
 
Back
Top Bottom