Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

Lol! Yanini uwe na bidada mshamba mshamba! Cheza mbali na bidada mshamba mshamba hata mkishuka naye club kuruka debe hajui hata pa kuanzia. Mkiongea hili na lile anatumbua mimacho tu! HAPANA BANAA!
wasumbufu anaweza kukwambia tuondoke wakati hapo umeshatoa kama 40 hivi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaha Yan Hafai,huwez Amin Kuna Dem Anamjua Mpaka Peter Krouch
 
Hahahahahahaaaaaa yaan dem anajua mpaka first eleven ya mbao fc
 
Back
Top Bottom