Msichana wa 36 anasumbuliwa sana na Maumivu ya Kiuno. Afanye nini?

Kama ana miaka 36 na bado ni "msichana" dawa ni aondoke kwenye usichana awe mwanamke (aolewe).

Akitoka tu kwenye usichana tatizo lake litakuwa historia.
Hatimae FAIZA FOXY amejibu.
 
MTOTO/WATOTO WAKE HUZAA NA KILO NGAPI? VIPI PRESHA AMEPIMA, NAHISI ALIPATA KITU KINAITWA OBSTETRIC PALSY, JISOMEE KWENYE GOOGLE REMEDIES ZAKE KAMA KINGEREZA SI TATIZO KWAKO, BUT CT SCAN LUMBO-SACRAL IS GOOD MOVE
 
Poleni Sana...Kama hospital imeshindikana jaribuni na kwenye mitishamba +maombi

Uliza watu wazima hasa kina bibi
 
Tatizo Hilo Mara nyingi linatokana na kubeba mzigo mzito, hususani Kama ni mama au Dada ndio za maji. Wengine wananyanyua ndio hizo umbali mrefu. Matokeo yake ni Justus pingili za chini sehemu UTI wa mgongo na kiuono. Pole sana. Akapige x Ray kwanza waone kabla shida haijawa kubwa
 
Kiuno kilinisumbua sana,mpaka nikapumzika kazi zote nilizokuwa nikifanya ikiwamo Udereva nikaacha hata kuwamba Ngozi nikawa hadi najibandikia patch za dawa ndio maumivu yakaanza kupungua na hatimae kuisha kabisa

Maumivu ya Kiuno ni makali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…