Ni 22,800 kwa wanaokaa kwa muajiri kwa maana huduma zote hadi medical ziko juu ya muajiri! Sh 60,000 kwa wanarudi makwao! Ila Market price ya Dar ni 40,000 upwards!
Sisi wengine hatuyawezi haya ya wadada wasaidizi wa kazi za nyumbani. Hata kuwaita ma-house girl tu sipendi. Nawaoneaga huruma sana. Na sijawahi na wala sitegemei kuwa siku moja nitaajiri mdada au mkaka wa kazi za nyumbani kwa sababu yote wanayofanya hao wasaidizi naweza kufanya mwenyewe. Ni kupangilia muda wako vizuri tu na utaweza kufanya. Angalau kwangu hili linawezekana sasa sijui kwa wengine.
Ila kuna watu wengine naonaga kabisa kuwa huwa hawahitaji hao "house girls" lakini unakutata anaye. Tena anaye na anaishi humo humo ndani ya nyumba. Kwangu inasikitisha sana.

khaaaaaaaaaaaa!!
Huku pm unampigia pande sister wako halafu hapa unazuga.
Ok, mwambie sister wako ajiandae kwa interview.
Wanasumbua sana siku hizi,mi binafsi kwa mwaka huu wamepita mabei 3 wanne na wameshalala mbele,ukipata wa bush anaweza kaa kidogo.La sivyo uka hire wa kimjini mjini lakini ndo hawatulii,wako ki mishe mishe.
Mmh! Lakini hii naona inaapply kwa familia nyingi!Ni 22,800 kwa wanaokaa kwa muajiri kwa maana huduma zote hadi medical ziko juu ya muajiri! Sh 60,000 kwa wanarudi makwao! Ila Market price ya Dar ni 40,000 upwards!
Lol...Hebu anza kutueleza utakayo yasema tuchangie mawazo usije ukaiadhalilisha JF
Nilikutana na rafiki yangu mmoja Bongo ana mtoto wa mwaka mmoja. Ananambia ana wafanyakazi wa wawili wa ndani. Na wote anawalipa 40,000 kila mmoja. Kisingizio ni mtoto ni mtundu kwa hiyo mmoja kazi yake kumtumbulia macho mtoto tu siku nzima!
Houseboy hatakiwi? Niko tayari kwa elf 15.

Mlipe kima cha chini. Na chama cha wafanyakazi kilio chao kikijibiwa, kima cha chini kikipandishwa, nawe mshahara wake itabidi umpandishie.
Hahaha..uhakikishie unatilia na Kanzu maridadi au magwanda ya ukweli ili tuelewe kweli mlizaliwa mtaa mmoja!Mkuu wewe angalia tu ikifika mida! jibaba nitakula pafyum mtaliskia mpaka kwenye mascreen ya tv zenu! nitamchambua Gaddafi tangu anavaa pampers, halaf namalizia na NATO! nitaongea kwa kimombo nawashauri mkae na dikshineri karib

wewe uliona wapi mfanyakazi anapewa uji wa maziwa,chakula cha mchana na jioni,chumba cha kulala.anaskiliza news kwenye tv na radio,analetewa zawadi ya nguo na nmanukato?ukisema upige hesabu hata laki 6 inafika.hiyo elf 30 ni deposit tu.hataitumia coz kila kitu anapata.mia
Gaijin asume you are a single mother, primary school teacher mshahara wako ni 200,000 unaishi jijini Dar! U need a help na jua hakuna day care center mbagala (ulipopanga) na kuna binti katoka Iringa anatafuta kazi za ndani utafanyaje?
Huko nje unapolonganisha, kuna options; kwanza mishahara mizuri, kuna kazi za few hrs, kuna daycare ambazo ziko registered though expensive! Wanaume wako so understanding that wanapeana zamu na wake zao kutake care ya watoto! Hakuna mgao wa Umeme that appliances like washing machines, dish washer etc zinakuwa na meaning that kazi zinapungua! So unappcompare baadhi ya vitu, usiache vingine kwani kila kitu kinaeffect kwa kingine!

Hahaha..uhakikishie unatilia na Kanzu maridadi au magwanda ya ukweli ili tuelewe kweli mlizaliwa mtaa mmoja!
Kiarabu hukielewi kidogo? Kimombo pekee hakitoshi!

ukitulia unakuwa na akili....

hebu nijibu ile pm....lol
Gaijin asume you are a single mother, primary school teacher mshahara wako ni 200,000 unaishi jijini Dar! U need a help na jua hakuna day care center mbagala (ulipopanga) na kuna binti katoka Iringa anatafuta kazi za ndani utafanyaje?
Huko nje unapolonganisha, kuna options; kwanza mishahara mizuri, kuna kazi za few hrs, kuna daycare ambazo ziko registered though expensive! Wanaume wako so understanding that wanapeana zamu na wake zao kutake care ya watoto! Hakuna mgao wa Umeme that appliances like washing machines, dish washer etc zinakuwa na meaning that kazi zinapungua! So unappcompare baadhi ya vitu, usiache vingine kwani kila kitu kinaeffect kwa kingine!

Kwanza elewa kuwa ile ni kazi sio charity. Hayo ya kumletea perfume sijui na vitu vyengine sio ndani ya sheria za kazi. Usipotaka usifanye. Pili unamnyima uhuru wake kama binaadamu wa kuishi anavyotaka na in short anakuwa kama mtumwa wako tu maana hamna masaa ya kazi wala hakuna off day, wala hakuna overtime.

Ile ni ajira, na kila ajira lazima ichukuliwe hivyo, na kuwe na mipaka katika ajira hiyo.