Msichana wa kazi za ndani

Msichana wa kazi za ndani

Wewe waangalie tu kuna wengine wanjiita majina bandia na ni wezi kuna msichana mmoja anajiita jenifer ana pua ndefu kidogo anaongea kichaga na kihehe ogopa hiyo namba chonde chonde msije pokea msichana huyo mwizi,mchonganishi kwa ujumla msanii usijemwachia watoto uko kazini ukidhani atawaudumia,mhehe mchaga.
 
gaijin, tell u what... kwa wengine kiukweli ni charity! kuna mtu kijijini huko anakuambia mchukue huyu mwanangu ukakae nae na usimlipe mshahara, manake hapo home hata msosi ni issue! yaani kuna mtoto anahitaji a place to eat, and sleep! dada aliyenilea mimi ni nesi mkunga, na amekua sehemu ya familia yetu kabisa na hakosi kusimulia alivyopewa maisha na wazazi wangu! wanae wawili wamesoma chuo kikuu kwa msaada bado wa wazazi wangu na wamesoma kozi niliyosoma mimi (i guess insipiration an vitabu etc). undugu wetu haueleweki kwa watu wa nje, lakini tumekuwa familia!
unyanyasaji ni tabia ya mtu nadhani. usiangalie kigezo kimoja tu cha maisha ya bongo ukataka kutatua mfumo mzima wa maisha, haitowezekana. mtu anakaa mbagala anafanya kazi kariakoo, anaondoka alfajiri anarudi usiku. hana washing machine wala umeme wa kupikia. anakaa mbali coz ndo ana-afford pango. hata kama uko single pengine utahitaji hgeli ili kulinda vijana wa mtaani wasichukue katv kako!


Know what....I love this post.,...hakuna kitufe cha 'love'.....niseme tu kitu kimoja,,, mimi siwezi kujilinganisha na Hussain Bolt kwenye mbio , najitamua kuwa uwezo wangu ni kutembea tu basi...King'asti nimekumiss ujue ivo...
 
Back
Top Bottom